PDF si lazima iwe document ya kawaida tu. Ikiwa ina taarifa muhimu, inaweza kuwa bidhaa ambayo watu wako tayari kuitumia.
Unaweza uza PDF mtandaoni kama guide, checklist, workbook, manual, report, study notes au resource nyingine.
Nani anaweza kuuza PDF?
Walimu wanaweza kutengeneza learning materials.
Consultants wanaweza kuandaa business guides.
Trainers wanaweza kutengeneza workbooks.
Wataalamu wanaweza kuandaa manuals na guides.
Kwa Fabilive, creators wanaweza kugeuza documents zao kuwa bidhaa za kidijitali.
Thamani ndiyo muhimu
PDF nzuri si kuhusu idadi ya kurasa pekee. Inapaswa kumsaidia mnunuzi kupata taarifa, suluhisho au ujuzi anaoutafuta.
Kama una maarifa ambayo yanaweza kusaidia mtu mwingine, fikiria jinsi unavyoweza kuyapanga kuwa PDF yenye thamani.
Fabilive inakupa nafasi ya uza bidhaa za kidijitali na kujenga biashara kutokana na maarifa yako.