Online Marketplace | Fabilive
Welcome to Fabilive β€” Connecting Multiple Buyers & Sellers

Blog

Pata Pesa kwa Bidhaa za Kidijitali: Jenga Chanzo Kipya cha Mapato

Pata Pesa kwa Bidhaa za Kidijitali: Jenga Chanzo Kipya cha Mapato

Kama una maarifa au ubunifu, huenda ukawa na kitu ambacho watu wengine wako tayari kulipia.

Unaweza pata pesa kwa bidhaa za kidijitali kwa kutengeneza na kuuza eBooks, PDFs, kozi, templates na bidhaa nyingine za kidijitali.

Anza na ujuzi ulionao

Usifikirie lazima uwe expert wa kila kitu.

Unaweza kuanza na kitu unachokijua vizuri.

Mwandishi anaweza uza eBook mtandaoni.

Mwalimu anaweza uza kozi mtandaoni.

Designer anaweza uza Canva templates.

Mtaalamu anaweza uza PDF mtandaoni.

Fabilive inalenga kuwasaidia creators kufanya hatua hii iwe rahisi zaidi kwa kuwaunganisha na wanunuzi.

Jenga bidhaa, si followers pekee

Followers ni muhimu, lakini bidhaa inaweza kukusaidia kugeuza audience yako kuwa biashara.

Kama una maarifa, experience au ubunifu, fikiria jinsi unavyoweza kuufanya uwe bidhaa ya kidijitali.

Anza na Fabilive na ujenge safari yako ya biashara ya kidijitali.

www.fabilive.com